1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CCM yakamilisha safu yake ya uongozi

Iddi Ismail Ssessanga12 Februari 2013

Nchini Tanzania, chama tawala CCM kimekamilisha mchakato wa kuunda safu ya uongozi wake kwa kuteua wajumbe wa kamati kuu baada ya kushindwa kufanya hivyo Novemba mwaka jana.

https://p.dw.com/p/17cee
Mwandishi: Iddi Ismail Ssessanga.
Rais wa Tanzania Jakaya KikwetePicha: dapd

Miongoni mwa wajumbe wa kamati kuu ni waziri mkuu mstaafu na katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa Afrika Dk. Salim Ahmad Salim. Wakatí huo huo, majina makubwa yanayotajwa kuwa na nia ya kuwania urais mwaka 2015 yakiwemo ya Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa, waziri wa mambo ya Nje Bernard Membe na Spika wa zamani Samuel Sitta wote wameachwa nje. Iddi Ssessanga amezungumza na mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Maggid Mjengwa kuhusiana na muundo wa safu hii mpya.

Bonyeza alama ya spika ya maskioni kusikiliza mahojiano kati ya Iddi na Maggid Mjengwa