1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CENI yaendelea kuhesabu kura za wabunge Kongo

Saleh Mwanamilongo28 Desemba 2011

Tume ya uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kuendelea na kuhesabu kura za uchaguzi wa bunge hii leo (28.12.2011), huku wakisubiri wataalamu wa kimataifa kusaidia 'kiufundi' kwenye zoezi hilo.

https://p.dw.com/p/13aWl
Rais Joseph Kabila
Rais Joseph KabilaPicha: picture-alliance/dpa

Uchaguzi huu ulifanyika sambamsa na ule wa urais tarehe 28 Novemba, lakini tofauti kubwa zilitokea baada ya Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo ya mwanzo ya uchaguzi wa bunge ambayo yalipingwa na wagombea wengi. Mwandishi wetu wa Kinshasa, Saleh Mwanamilongo, ametutumia taarifa kutoka huko.

Ripoti: Saleh Mwanamilongo
Mhariri: Othman Miraji