1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CHADEMA yanyakua majimbo saba Kilimanjaro, CCM mawili

Elizabeth Shoo27 Oktoba 2015

Katika uchaguzi mkuu wa Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimechukua majimbo mengi na kata nyingi zaidi katika mikoa iliyoko Tanzania Kaskazini ambapo ndiyo ngome kuu ya chama hicho.

https://p.dw.com/p/1Guzc
CHADEMA Moshi Tanzania
Picha: DW/E. Shoo

[No title]