1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chama kipya cha Rais Mwai Kibaki nchini Kenya

17 Septemba 2007

Baada ya siku nyingi za kubahatisha na kufikiria kuhusu chama cha kisiasa kitakachotumiwa na rais Kibaki wa Kenya kwenye kampeno yake ya uchaguzi wa rais mwezi Desemba mwaka huu, hatimaye rais huyo ametangaza rasmi hadharani kwamba anakusudia kutumia chama kipya cha muungano wa zaidi ya vyama 16 vya kisiasa kwa jina la Party of National Unity, PNU.

https://p.dw.com/p/CH89
Rais Mwai Kibaki atangaza kutumia chama kipya kwa jina la PNU katika uchaguzi wa Rais
Rais Mwai Kibaki atangaza kutumia chama kipya kwa jina la PNU katika uchaguzi wa RaisPicha: AP

Hata hivyo,Rais Kibaki amesema kuwa kila chama kitakuwa huru kuwachagua wabunge wake na madiwani.

Taarifa zaidi na Mwai Gikonyo kutoka Nairobi.