1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni ya chanjo Kisumu na changamoto zake

John Marwa22 Juni 2016

"Tunaamini Mungu atatuponya ndiyo maana hatutaki chanjo." Wahudumu wa afya wanakutana na vikwazo kadhaa wanapotaka kutoa chanjo kwa wakazi wa Kisumu, Kenya. John Marwa anaangazia hilo katika Afya Yako.

https://p.dw.com/p/1JBDZ
Mwanafunzi akipata chanjo

[No title]