1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

Changamoto za uandaaji wa filamu Tanzania

30 Septemba 2016

Utayarishaji wa filamu zinazowakosoa watawala au jamii kwa ujumla hukabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo nyingine huwakwamisha wasanii wenye vipaji na kuwanyima fursa ya kujiendeleza katika taaluma zao.

https://p.dw.com/p/2Qmhu
Filmemacher Amil Shivji
Amil Shivji, mtengenezaji filamu (kushoto) na Naibu Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili, Josephat CharoPicha: DW/A. Schmidt

FE: Kinagaubaga/MMT 27/28/30.09.2016 Amil Shivji - MP3-Stereo

Inahitaji wasanii mahiri wenye ukakamavu na shujaa kuweza kuandaa filamu zenye ujumbe mzito unaokusudiwa bila kuogopa matokeo yanayoweza kutokea. Katika Kinagaubaga Josephat Charo amezungumza na Amil Shivji, mtayarishaji wa filamu kutoka Tanzania.

FE: Kinagaubaga/MMT 27/28/30.09.2016 Amil Shivji - MP3-Stereo