1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Cheney ziarani Saudi Arabia

21 Machi 2008
https://p.dw.com/p/DSRL

RIYADH

Makamu rais wa Marekani-Dick Cheney amekutana kwa mazungumzo na Mfalme Abdallah wa Saudi Arabia.

Wachambuzi wa mambo wanasema mazungumzo yao yatajikita katika suala la bei ya mafuta ambayo imepanda sana siku hizi.

Mshauri wa masuala ya usalama wa Cheney,John Hannah amewaambia maripota kuwa anategemea kuwa waku hao wawili watajalia haja ya kushirikiana katika hali ya mafuta ambayo bei yaker inayumbayumba kwa minajili ya kuweza kukidhi mahitaji ya wauazaji na wanunuzi.