1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

China kutoa dola bilioni 60 kwa uekezaji Afrika

Mjahida 4 Desemba 2015

China itaipa Afrika dolla bilioni 60 kusimamia miradi ya maendeleo barani humo ambayo miongoni mwa mambo mengine italenga ujenzi wa miuondo mbinu pamoja na maarifa katika bara hilo kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.

https://p.dw.com/p/1HHe5
China Südafrika Xi mit Zuma und Mugabe in Johannesburg
Picha: Reuters/S. Sibeko

[No title]