1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Comoro, uhuru, changamoto na misukosuko

14 Julai 2011

Visiwa vya Comoro vilipata uhuru wake miaka 36 iliyopita kutoka Ufaransa na ndani ya miaka hiyo vimeshuhudia mapinduzi, misukosuko na tishio la kujitenga kwa kisiwa cha Anjouan, huku Mayotte ikisalia Ufaransa.

https://p.dw.com/p/RZmn
Ramani ya Afrika ikionesha visiwa vya Comoro
Ramani ya Afrika ikionesha visiwa vya ComoroPicha: DW

Mohammed Abdul-Rahman anaitathmini miaka 36 ya uhuru wa visiwa vya Comoro, changamoto zake na mafanikio yaliyopigwa kwenye visiwa hivyo vya Bahari ya Hindi.

Mtayarishaji: Mohammed Abdul-Rahman
Mhariri: Othman Miraji