1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CUF yaionya serikali ya Tanzania

20 Mei 2016

Chama cha wananchi CUF kimetahadharisha kuhusu mwenendo wa siasa zinazofanywa na serikali ya Tanzania, kikisema unaweza kuwafanya wananchi kuingiwa na woga na kushindwa kushiriki shughuli za kimaendeleo.

https://p.dw.com/p/1Irzb
Twaha Taslima na Abdul Kambaya wa CUF
Picha: DW/G. Njogopa

[No title]