1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Zanzibar

Josephat Charo10 Septemba 2015

Chama cha Wananchi (CUF) kimezindua kampeni zake za uchaguzi mkuu wa Zanzibar kikitangaza azma ya kuviona visiwa hivyo vya Afrika Mashariki vina mamlaka kamili ya kujiendesha kiuchumi na kisiasa.

https://p.dw.com/p/1GUDG
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.Picha: DW/M.Khelef

Kutoka Viwanja vya Demokrasia kando kidogo ya kitovu cha mji wa Zanzibar, Josephat Charo akiwa hapa Bonn anazungumza moja kwa moja na mwandishi wetu Salma Said anayehudhuria mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni. Kusikiliza bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Josephat Charo
Mhariri: Mohammed Khelef