1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dar es Salaam inavyoipiku Mombasa

Eric Ponda30 Januari 2012

Kwa miaka mingi bandari ya Mombasa ilikuwa kama kituo kikuu cha kupitisha mizigo kutoka nje ya bara la Afrika na kuelekea maeneo ya Afrika ya Mashariki na Kati, lakini sasa Dar es Salaam imeanza kuipiku. Kwa nini?

https://p.dw.com/p/13t6I
Meli ikiwa imeegesha kwenye bandari ya Mombasa.
Meli ikiwa imeegesha kwenye bandari ya Mombasa.Picha: AP

Eric Ponda kutoka Mombasa anaangalia sababu za kuporomoka kwa biashara kwenye bandari ya Mombasa na kinachowafukuza wafanyabiashara kwenye bandari hiyo kukimbilia bandari ya Dar es Salaam. (Tafadhali, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini kusikiliza).