1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DAR ES SALAAM:Naibu Waziri afariki

25 Oktoba 2007
https://p.dw.com/p/C7Cu

Naibu waziri wa maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Salome Mbatia amefariki dunia.Watu watatu na Bi Mbatia alipoteza maisha yake pale gari alimokuwa akisafiria lilipogongana na lori moja. Ajali hiyo imetokea jana jioni katika eneo la Kibena mkoani Iringa ulio na umbali wa kilomita 550 kutoka mjini Dar es salaam.