1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Deutsche Welle barani Afrika

Tokea tarehe 29, Oktoba, 2006 Deutsche Welle Idhaa ya Kiswahili imeanzisha mfumo mpya wa matangazo kwa Afrika.

https://p.dw.com/p/C7yQ

Katika mfumo huu mpya unaweza kusikiliza matangazo kwa lugha tofauti zinazokujia kwa awamu moja kwa moja kwenye masafa mafupi yaani Short Wave.

Deutsche Welle ina muda wa saa 15 za habari na uchambuzi katika lugha sita tofauti. Muda wa matangazo yetu ni bora kwa wasikilizaji popote pale walipo.