1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dhahabu ya Tanzania

vdt-cma19 Februari 2013

Wakia milioni 36 za dhahabu: Tanzania inakalia hazina yenye thamani ya mabilioni ya dola. Kwa gramu chache za dhabu watu wanahatarisha maisha katika kijiji cha Kewanja kinachotaka kufaidika na neema hiyo.

https://p.dw.com/p/17h4Y