1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dhima ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano ya kijamii

Mohammed Khelef
16 Novemba 2016

Mitandao ya kijamii inasemekana kuwa inavunja mahusiano ya kijamii kwa kuwatenganisha watumiaji wake na ulimwengu halisi wanaoishi, lakini kwenye mazungumzo haya na Mohammed Khelef, mtaalamu wa mawasiliano ya mitandao ya kijamii, Suleiman Shaaban, anasema mitandao hii haivunji mahusiano bali inayaimarisha zaidi.

https://p.dw.com/p/2Sicr