1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Donald Tusk achaguliwa tena Rais Baraza la EU

Daniel Gakuba
10 Machi 2017

Donald Tusk amechaguliwa tena kuwa Rais wa Baraza la Ulaya, licha ya kupingwa na nchi yake, Poland, Mahakama ya Katiba ya Korea Kusini, imeunga mkono kufutwa kazi kwa rais Park Guen-hye, aliyekabiliwa na tuhuma za kukiuka katiba ya nchi, na Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amerejea nyumbani, baada ya matibabu ya miezi miwili London, Uingereza.

https://p.dw.com/p/2YyIC