1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Baraza la usalama la umoja wa mataifa waongeza muda wa tume ya Monusco

28 Juni 2012

Baada ya baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuongeza muda wa tume ya Monusco Katika Jamhuri ya demokrasi ya Kongo hisia mbali mbali zimeanza kutolewa juu ya umuhimu wa Jeshi hilo.

https://p.dw.com/p/15N8z
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa
Baraza la usalama la Umoja wa MataifaPicha: AP

Upinzani nchini humo hata hivyo umesema kwamba haina maana kwa jeshi hilo kuwepo huku hali ya usalama ikizidi kuzorota.

Jee wakaazi wa mashariki mwa Kongo ,eneo linalokabiliwa na vita wanamaoni gani kuhusu hatua hiyo ya Umoja wa mataifa ? Mratibu wa jumuiya za Kiraia Nchini humo Mustafa Mwiti kwanza anaelezea maoni yake juu ya kuwepo kwa jeshi la Umoja wa Mataifa.

(Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi : Amina Abubakar

Mhariri: Mohammed Abdulrahman.