1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Kituo maalum cha Ujasusi chaanzishwa Mashariki mwa Kongo

14 Juni 2012

Katika azma ya kurejesha usalama kwenye nchi za kanda ya maziwa makuu, kumezinduliwa kituo ambacho kitahusika na ukusanyaji habari za kijasusi.

https://p.dw.com/p/15EPW
Mji wa Goma, DRC kilipofunguliwa kituo cha Ujasusi
Mji wa Goma, DRC kilipofunguliwa kituo cha UjasusiPicha: Creative Commons/Sascha Grabow

Kituo hicho kilichofunguliwa mjini Goma katika jamhuri ya kidemokrasi ya kongo kitaongozwa na generali Fransisco Bento raia wa Angola, akiwa na manaibu wawili kutoka Uganda na Sudan.

John Kanyunyu na ripoti hiyo.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi John Kanyunyu

Mhariri Yusuf Saumu

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi