1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC, M23 watia saini mkataba wa amani

13 Desemba 2013

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetia saini mkataba wa amani na kundi la waasi la M23 unaokusudia kuleta maridhiano, uthabiti na maendeleo mashariki mwa DRC.

https://p.dw.com/p/1AYjM
Waasi wa M23
Waasi wa M23Picha: picture-alliance/AP

Mkataba huo ulitiwa saini Jana jioni (12.12.2013) katika Ikulu ya Nairobi na kushuhudiwa na Marais Yoweri Museveni wa Uganda, Joyce Banda wa Malawi, mwenyeji wao Uhuru Kenyatta na Rais Joseph Kabila wa DRC. Mwandishi wetu Alfred Kiti kutoka Nairobi na taarifa zaidi. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Alfred Kiti

Mhariri: Mohammed Khelef