1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Mapigano mkoani Kivu ya Kaskazini

23 Mei 2012

Mashirika ya kiraia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamehimiza msaada wa haraka wa kimataifa kufuatia mapigano ya wiki iliopita kati ya makundi yanayohasimiana.

https://p.dw.com/p/150QN
A rebel from Laurent Nkunda's renegade movement talk to a civilian near a checkpoint, Friday , Oct. 31, 2008 near Kibumba some 40 kilometers north of Goma in eastern Congo. Thousands of war-weary refugees returned to the the road Friday, taking advantage of a rebel-called cease-fire to try to reach home beyond the front lines of this week's battles in eastern Congo.(AP Photo/Karel Prinsloo)
Mapigano yaendelea Kivu ya KaskaziniPicha: AP

Mapigano hayo yamegharimu maisha ya kiasi ya watu 100 na maelfu wengine kutokuwa na makaazi baada ya nyumba zao kuchomwa moto katika wilaya ya Masisi mkoani Kivu ya Kaskazini. Sudi Mnette alizungumza na Naibu Kiongozi wa Mashirika ya Kiraia katika mkoa huo Omar Kavota ambae kwanza anaeleza namna walivyolipokea tukio la mauwaji ya raia wasio na hatia.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman