1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Waziri wa maswala ya Kijamii Charles Nawej atembelea Goma

29 Mei 2012

Vita vingali vinaendelea baina ya waasi wa M23 na majeshi ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika milima ya wilaya ya Rutshuru mkoani Kivu ya kaskazini.

https://p.dw.com/p/153ma
Wakimbizi kambi ya Goma wapatiwa msaada
Wakimbizi kambi ya Goma wapatiwa msaadaPicha: picture-alliance / dpa

Serikali ya DRC imeanza kuwapa msaada wakimbizi katika kambi ya Goma na Rutshuru kupitia waziri wake wa maswala ya kijamii na umoja wa taifa, Charles Nawej. Lakini pamoja na kuukaribisha msaada huo, wakimbizi wanahimiza kupatikana kwa amani katika vijiji vyao, ili waendeshe shughuli zao za kawaida. Mwandishi wetu wa Mashariki ya DRC, John Kanyunyu, na taarifa hiyo.

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwanidshi: John Kanyunyu/DW Goma

Mhariri: Othman Miraji

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi