1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC:Waasi wa M23 waudhibiti tena mji wa Sake

23 Novemba 2012

Ripoti kutoka DRC zinasema hali ya utulivu imerudi katika mji wa Sake kilomita 27 kusini magharibi mwa mji wa Goma baada ya mapigano kati ya waasi wa M23 na jeshi la serikali likiungwa mkono na wanamgambo wa maimai.

https://p.dw.com/p/16oYs
Waasi wa M23 mjini Goma
Waasi wa M23 mjini GomaPicha: picture-alliance/dpa

Mji huo unasemekana unadhibitiwa tena na waasi.
Hata hivyo baadhi ya raia wa mji huo wamekimbilia Minova katika mkoa wa Kivu ya kusini na Wengine katika viunga vya mji wa Goma. Mwandishi wetu John Kanyunyu ana taarifa zaidi.

(Kusikiliza taarifa bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi:John Kanyunyu

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi