1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC:Waziri Mkuu Matata Mponyo amaliza ziara yake mashariki mwa Kongo

11 Juni 2012

Waziri mkuu wa DRC Matata Mponyo amemaliza ziara yake ya siku nne mashariki mwa DRC.

https://p.dw.com/p/15Bw0
Mji wa Goma,mashariki mwa Kongo
Mji wa Goma,mashariki mwa KongoPicha: AP

Katika ziara yake mkoani Kivu ya kaskazini, alithibitisha uungwaji mkono wa Rwanda kwa waasi wa M23. Matamshi yanayokanushwa na waasi hao. Nalo jeshi la Umoja wa mataifa likiwa linaunga mkono jeshi la DRC katika operesheni dhidi ya waasi, waasi
hao wamelitahadharisha jeshi hilo, kuwa litashambuliwa ikiwa
litakanyaga kwenye ardhi chini ya uongozi wao.

John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Goma.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Saumu Yusuf

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi