1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DUBAI: Mateka walioachiliwa huru warejea Korea Kusini

1 Septemba 2007
https://p.dw.com/p/CBTg

Mateka 19 wa Korea Kusini waliozuiliwa na wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan kwa majuma sita wameondoka Dubai,hii leo kurejea nyumbani.Mwanadiplomasia kwenye Ubalozi wa Korea Kusini,katika Umoja wa Falme za Kiarabu amesema, mahabusu walioachiliwa huru waliwasili Dubai kutoka Afghanistan siku ya Ijumaa.