1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

FRANKFURT: Magari mapya kupunguza uchafuzi wa mazingira

13 Septemba 2007
https://p.dw.com/p/CBQ8

Kansela wa Ujerumani,Angela Merkel amefungua rasmi maonyesho ya kimataifa ya magari-IAA mjini Frankfurt.Kuambatana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani,kiini cha maonyesha ya Frankfurt ni magari yasiyochafua mazingira.Hadi Septemba 23, takriban washirika 1,100 kutoka nchi 40 wataonyesha yale yaliyo mapya katika sekta ya magari.