1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fununu za kukamatwa kwa mkuu wa zamani wa waasi wa CNDP nchini DRC

4 Aprili 2012

Hali ya wasiwasi imetanda katika baadhi ya wilaya za mkoa wa Kivu ya kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

https://p.dw.com/p/14XVM
Laurent Nkunda kiongozi wa sasa wa waasi wa CNDP
Laurent Nkunda kiongozi wa sasa wa waasi wa CNDPPicha: picture-alliance/ dpa

. Ripoti kutoka huko zinadokeza kuwa fununu kuhusu kukamatwa kwa Brigedia Jenerali Bosco Taganda, mkuu wa zamani wa waasi wa CNDP, ndiko kunasababisha hali hiyo ya wasiwasi. Taganda anatafutwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kutokana na makosa anayoshukiwa kuyatenda katika mkoa wa Ituri. John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka mjini Beni.

(Kusikiliza ripoti hii tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi