1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

GAZA: Mateka Johnston aonyeshwa amepachikwa miripuko

26 Juni 2007
https://p.dw.com/p/CBoK

Kanda ya video ya mwandishi wa habari wa Kingereza,Alan Johnston alietekwa nyara,Ukanda wa Gaza majuma 15 ya nyuma,imeonyeshwa kwenye mtandao wa Internet.Johnston ameonyeshwa akiwa amefungiwa miripuko mwilini na akionya kuwa kundi lililomzuia litamripua,pindi kutafanywa juhudi za kumuokoa kwa nguvu.