1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ghasia zaendelea nchini Ugiriki baada ya kuuwawa kijana wa miaka 15

9 Desemba 2008

Hali ya ghasia na machafuko inaendelea katika miji mikuu ya nchini Ugiriki kutokana na kuuwawa kwa kijana mmoja wa miaka 15 na polisi jumamosi iliyopita.

https://p.dw.com/p/GCQ5
Uharibifu uliofanywa na waandamanaji mjini AthensPicha: AP

Hakuna anayefahamu kwa dhati nini sababu ya hasira hizi za hasa vijana nchini Ugiriki ambazo zimeambatana na kuharibu mali za watu.

Sekione Kitojo alizungumza na mkaazi mmoja wa mjini Athens, Kayu Ligopora ambaye kwanza anatufahamisha hali ilivyo hadi sasa.