1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Goodluck atengeneza mazulia Mwanza

31 Julai 2017

Filamu hii fupi inahusu mtu mwenye ujuzi mjini Mwanza nchini Tanzania. Amekuwa akitengeneza mazulia yenye nembo na kuyauza kwa mahoteli makubwa, afisi za serikali na hata za kibinafsi mjini humo. Ni maarufu kwa kutumia malighafi inayopatikana mjini humo na sindano kutengeneza mazulia kutumia mikono yake mwenyewe.

https://p.dw.com/p/2hQji