1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Haki za Binaadamu Visiwani Zanzibar

31 Agosti 2007

Tume ya haki za binaadamu na utawala bora nchini Tanzania kwa mara ya kwanza imeanza kazi zake visiwani Zanzibar na kutoa taarifa yake kwa kusema kuwa vipo vitendo vya ukiukaji wa haki za binaadamu vianvyotekelezwa na vyombo vya dola.

https://p.dw.com/p/CH8j

Mwandishi wetu Salma Said kutoka Zanzibar anaripoti kamili.