1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Haki za Watoto – Kipindi 05 – Unyanyasaji wa Watoto

22 Machi 2011

Hadithi ya Yolanda kutoka Afrika Kusini ni ya kawaida – alibakwa na baadaye akaambiwa yeye ndiye wa kulaumiwa. Kwa bahati nzuri amepata msaada kuweza kuondokana na kusononeka. Lakini haikuwa rahisi.

https://p.dw.com/p/QquR