1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ilivyo vituoni vya kupiga kura

27 Septemba 2009

Shughuli ya kupiga kura inaendelea Ujerumani ambapo Kansela Angela Merkel wa chama cha CDU anawania muhula wa pili.Mpinzani wake mkuu ni Frank-Walter Steinmeier wa chama cha Kisoshalisti cha SPD

https://p.dw.com/p/Jq3u
Mpigaji kuraPicha: AP

Jumla ya Wajerumani milioni 62.2 wana haki ya kupiga kura ili kuvichagua vyama 28 vinavyowania nafasi katika Bundestag.Othman Miraji alizungumza na Oumilkheir Hamidou ambaye alipiga kura katika kituo kimoja kilichoko mjini Cologne jimbo la Nord-Rhein Westphalia.Sikiliza mahojiano hayo