1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali nchini Somalia

21 Februari 2007

Katika pembe ya Afrika hali inazidi kuwa mbaya nchini Somalia ambapo kumearifiwa kutokea kwa mapigano kwenye viunga vya mji mkuu Somalia.

https://p.dw.com/p/CHJl
Mapigano Somalia
Mapigano SomaliaPicha: AP

Mapigano hayo kati ya majeshi ya serikali ya mpito na wanamgambo wa muungano wa mahakama za kiislam yalihusisha makombora ambapo watu 12 wameuawa na wengine akdhaa kujeruhiwa.

Mwandishi wetu Kadra Mohamed anaripoti zaidi kutoka Mogadishu.