1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ni shwari katika visiwa vya Komoro

Josephat Nyiro Charo15 Juni 2010

Hali katika mji mkuu wa visiwa vya Komoro ni shwari baada ya vurugu za jana zilizofuata kutokana na kuuwawa Kanali Kombo Ayouba aliyekua mkuu wa kikosi cha ulinzi wa rais

https://p.dw.com/p/NrZ9

Kombo Ayouba alipigwa risasi na mtu au watu wasiojulikana wakati alipowasili nyumbani kwake Jumapili usiku. Matukio haya yanajiri katika wakati ambao uchaguzi wa rais umepangwa Novemba mwaka huu, na ni zamu ya kisiwa cha Mwali kuchukuwa wadhifa huo ambapo kitawasilisha wagombea watakaopigiwa kura na visiwa vyote vitatu.

Nimezungumza na Spika wa zamani wa bunge la Comoro, Mohamed said Mshangama, na kwanza nilimuuliza hadi sasa ni kipi kilichofahamika kuhusiana na kuuawawa kwa Kanali Kombo Ayouba.

Mahojiano :Mohamed Abdul-Rahman/Mohamed Said Mshangama.

Mpitaiaji:Miraji Othman