1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya huduma ya afya nchini Tanzania bado yazorota

2 Julai 2012

Mwenyekiti wa Chama cha Madaktari nchini Tanzania, Dr. Mkopi Namala, amesema hali ya huduma ya afya nchini humo bado ni mbaya na kwamba kiini cha tatizo hasa ni kuchanganya suala hilo na siasa.

https://p.dw.com/p/15Pz7
Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania
Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa TanzaniaPicha: AP Photo

Sudi Mnette amezungumza na daktari huyo ikiwa siku moja tu baada ya Rais wa taifa hilo, Jakaya Kikwete, kuzungumzia tatizo la mgomo wa madaktari na suluhu yake, na kuwataka madaktari wanaogoma ama warudi kazini au waache kazi.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohammed Khelef