1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya kisiasa Zanzibar katika serikali ya umoja wa kitaifa

24 Septemba 2012

Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Maalim Seif Sharif amesema vurugu zilizotokea kwenye uchaguzi mdogo wa Bububu zilisababishwa na vikosi vya ulinzi na usalama visiwani humo na hivyo kumtaka Rais Dk. Shein kuchukua hatua.

https://p.dw.com/p/16DE9
Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Seif Sharif Hamad
Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Seif Sharif HamadPicha: DW

Kwa njia ya simu Sudi Mnette kwanza alizungumza na maalim Seif na kumuuliza kwa nini ametoa kauli hiyo akiwa yeye ni makamu wa rais wa Zanzibar na baadaye alizungumza na Msemaji wa chama hicho Salum Bimani na akamuuliza kwa nini kiongozi huyo wa serikali ya Umoja wa Kitaifa azungumze suala hilo katika mkutano wa hadhara wakati yeye ni kiongozi wa serikali.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Saumu Yusuf