1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya usalama Visiwani Zanzibar

30 Oktoba 2012

Visiwani Zanzibar inasemekana vikosi vya usalama vimekuwa vikitumia nguvu katika kuwakamata watu waliohusika na vurugu zilizotokea katika kisiwa cha Unguja hivi karibuni.

https://p.dw.com/p/16ZKo
Zanzibar hali si shwari kutokana na kamatakamata
Zanzibar hali si shwari kutokana na kamatakamataPicha: DW /Maya Dreyer

Watu kadhaa tayari wamedaiwa kufariki mikononi mwa polisi. Kulingana na kamishna wa tume ya haki za binaadamu Tanzania, Zahor Juma Khamis, ni lazima polisi izingatie utawala wa sheria katika operesheni zake za kamatakamata. Amina Abubakar amezungumza naye juu ya hilo na alikuwa na haya ya kueleza.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Amina Abubakar

Mhariri: Yusuf Saumu