HANOI: Wahanga wa kimbunga waongezeka
3 Oktoba 2006Matangazo
Nchini Vietnam idadi ya wahanga wa kimbunga kwa jina Xangsane imezidi kuongezeka na kufikia watu 30. Maafisa katika nchi hiyo wanasema kuwa idadi hiyo huenda ikaongezeka. Kimbunga hicho kilipiga eneo la kati kati mwa nchi la Danang na kusababisha mmomonyoko wa ardhi. Mbali na watu waliyokufa, bhasara imekadiriwa kufia milioni 240 za Euro