Kama zilivyo mila nyingine kwenye utamaduni wa Mswahili, pambo la hina nalo linaonekana kuvamiwa na mabadiliko ya kisasa, jambo linalosababisha kupotea kwa ule uasili wake na kuifanya hina kuwa kama jambo la kawaida tu.
https://p.dw.com/p/RVdc
Matangazo
Saumu Mwasimba anazungumza na wataalamu wa hina kutoka pwani ya Afrika ya Mashariki kuhusu maana, umuhimu na miko ya pambo hilo maarufu miongoni mwa jamii ya Waswahili.