1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Historia ya kanga na maneno yake

John Juma6 Juni 2016

Fahamu historia ya kanga au leso, umuhimu wa maneno yake na jinsi maneno ya kileo yanajipenyeza katika kanga za kileo. Kadhalika John Juma anakuelezea mitizamo kuhusu maneno na matumizi ya kanga.

https://p.dw.com/p/1J1V7
Wanawake wakiangalia kanga.
Wanawake wakiangalia kanga.Picha: DW

[No title]

Kanga au leso ni vazi ambalo linatumiwa sana Afrika hasa na wanawake. Je unafahamu historia ya leso? Maneno katika kanga hupitisha ujumbe maalum. Katika makala haya ya Sanaa na Utamaduni yaliyoandaliwa na John Juma, utasikia historia ya kanga na jinsi maneno ya kidijitali au kileo pia yanajipenyeza kwenye leso. Bonyeza alama ya kusikiliza upate kujua mengi zaidi