1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Homa ya Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

12 Septemba 2007

Baada ya shirika la Afya ulimwenguni kuthibitisha kuwa ugonjwa uliojitokeza jimboni Kasai ni homa ya EBOLA, hali ni ya wasiwasi kwenye eneo hilo katikati mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

https://p.dw.com/p/CHjK

Wakaazi wameanza kukimbilia kwenye mji mkuu wa jimbo. Hali hiyo inaweza kusababisha kusambaa kwa ugonjwa huo ambao hadi sasa haujakuwa na dawa maalum ya kuutibu. Waziri wa Afya wa nchi hiyo amewaomba wakaazi wa mji wa Mweka wabaki watulivu.

Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa.