1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

HONIARA: Misaada imeanza kuingia visiwa vya Solomon

4 Aprili 2007
https://p.dw.com/p/CCCg

Misaada ya kiutu imeanza kuingia katika visiwa vya Solomon baada ya visiwa hivyo vya kusini mwa bahari ya Pacific kukumbwa na mawimbi ya Tsunami.

Makaazi ya watu yameharibiwa vibaya na kuwaacha maelfu bila makao.

Zaidi ya watu 20 wameuwawa katika mkasa huo na idadi ya watu walioukufa inatarajiwa kuongezeka.

Hadi sasa haijajulikana bado idadi kamili ya watu waliopotea.