HUE HUE TONANGO:34 wafa katika ajali ya basi nchini Guatemala
10 Oktoba 2006Matangazo
Watu wasiopungua 34 wamekufa baada ya basi kupindukia katika korongo.
Watu wengine kadhaa walijeruhiwa katika ajali hiyo iliyotokea kaskazini mwa Guatemala.
Watu waliofanya juhudi za uokoaji wamesema kuwa basi hilo lilitumbukia futi mia tatu chini ya korongo hilo.Maafisa wameeleza kuwa basi ajali hiyo ilisababishwa na ukungu pamoja na mvua.