1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ICC kuanzisha uchunguzi kwa ghasia za Burundi

9 Mei 2016

Mahaka ya Kimatiafa ya Uhalifu ya ICC kuanzisha uchunguzi wa awali kuhusu vitendo vinavyofanywa katika ghasia za Burundi na kusababisha mamia kupoteza maisha na wengine wengi kukimbia makazi yao.

https://p.dw.com/p/1IkNV
Burundi Gewalt und Proteste
Vurugu za waandamanaji nchini BurundiPicha: Reuters/G. Tomasevic

[No title]

Kwa kujua zaidi msikilize Mohammed Dahman katika makala ya "Mbiu Ya Mnyonge" kuhusu mpango huo na hali jumla kufuatia vurugu za Burundi.