1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ICC yamuhukumu Bemba

22 Machi 2017

Mahakama ya kimataifa ya makosa ya Uhalifu, ICC yamuhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela aliyekuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kwa kosa la kuhonga mashahidi, Dunia bado yatishiwa na kitisho cha kuongezeka kwa joto na mwanandinga wa Ujerumani, Podolski kuachana na soka la kimataifa.

https://p.dw.com/p/2ZkVF