1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Idadi ya wahanga wa mashambulizi yaongezeka Irak

1 Machi 2008
https://p.dw.com/p/DGN2

BAGHDAD:

Idadi ya wahanga wa mashambulizi nchini Irak imeongezeka katika mwezi wa Ferbruari.Takwimu zilizotolewa na serikali ya Irak zinaonyesha kuwa Wairaki 721

waliuawa katika machafuko ya mwezi uliopita.Kulinganishwa na mwezi wa Januari, idadi hiyo imeongozeka kwa asilimia 33.Serikali imesema,sababu ni mashambulizi makubwa ya bomu yaliyoongezeka.Makundi ya al-Qaeda yamelaumiwa kuhusika na mashambulizi hayo.