1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Idadi ya watu kufikia bil. 9.8 mwaka 2050

Sylvia Mwehozi
22 Juni 2017

Idadi ya watu duniani itafikia bil. 9.8 ifikapo mwaka 2050. Kundi la Dola la Kiislamu IS limeuripua msikiti mkuu wa al-Nuri Mosul. Na Malipo ya dijitali nchini Tanzania yarahisisha maisha. Papo kwa Papo 22.06.2017.

https://p.dw.com/p/2fCBf