Kansela mtarajiwa wa Austria, Sebastian Kurz (picture-alliance/R.Jaeger)

Austria yaegemea sera za mrengo wa kulia

Uchaguzi mkuu umemalizika nchini Austria, ukikipa ushindi Chama cha Umma cha kihafidhina OVP kinachoongozwa na kijana wa miaka 31, Sebastian Kurz, ambaye anatarajiwa kuwa kiongozi wa serikali mwenye umri mdogo, kabisa duniani. Lakini, ushindi huo umetokana na mabadiliko katika sera za chama hicho na Kurz na kuegemea kulia zaidi, kikijivisha sura ya kupinga kuingia kiholela kwa wakimbizi.

Albanian Shqip

Amharic አማርኛ

Arabic العربية

Bengali বাংলা

Bosnian B/H/S

Bulgarian Български

Chinese (Simplified) 简

Chinese (Traditional) 繁

Croatian Hrvatski

Dari دری

English English

French Français

German Deutsch

Greek Ελληνικά

Hausa Hausa

Hindi हिन्दी

Indonesian Bahasa Indonesia

Kiswahili Kiswahili

Macedonian Македонски

Pashto پښتو

Persian فارسی

Polish Polski

Portuguese Português para África

Portuguese Português do Brasil

Romanian Română

Russian Русский

Serbian Српски/Srpski

Spanish Español

Turkish Türkçe

Ukrainian Українська

Urdu اردو