1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

IEBC: Makamishna kamwe hawatang'atuka

Elizabeth Shoo5 Mei 2016

Tume ya Uchaguzi Kenya imesema makamishna wake hawataachia ngazi, licha ya shinikizo kutoka upande wa upinzani, viongozi wa makanisa na maafisa wa kibalozi wanaotaka tume hiyo ifanyiwe marekebisho.

https://p.dw.com/p/1Iiot
Katuni ya Gado kuhusu Tume ya Uchaguzi Kenya, IEBC
Picha: Godfrey Mwampembwa aka Gado

[No title]